Ukweli Kuhusu Maisha Yangu

Rasheed - Karibuni Kwenye Tovuti yangu. MAISHA YANGU  TAMBAA NAMI ALBUM MANENO YA HEKIMA MAWASILIANO NAMI STORY ZANGU ZA MAPENZI TOVUTI NA BLOG MBALIMBALI MUZIKI NA BURUDANI STORY MVURUGANO Blog

MAISHA NI SAFARI NDEFU AMBAYO INAKUBIDI UPITIE NJIA NYINGI NGUMU ILI KUWEZA KUFIKA PALE UNAPOHITAI KUFIKA,SIKU UNAYOZALIWA WAZAZI WENGI HUWA NA FURAHA KUBWA YA KUPATA MTOTO,LAKINI NI SIKU AMBAYO NDIPO MAISHA YA BINADAMU YANAPOANZIA,LAKINI YOTE KWA YOTE MWENYEZI MUNGU NDIYE MPANGAJI WA KILA KITU. HII NI STORY YA MAISHA YANGU HALISI AMBAYO NI MCHANGANYIKO WA MAMBO MENGI MABAYA NA MAZURI.NI STORY AMBAYO INA UKWELI WA ASILIMIA 99 INGAWA KUNA BAADHI YA VITU SIJAWEKA WAZI SANA KUTOKANA NA KUTOPENDA KULETA MGONGANO BAINA YANGU NA BAADHI YA WATU FAMILIA AU MARAFIKI.UKIWA NA SWALI LOLOTE JUST GO TO MY CONTACTS PAGE NA UNAWEA KUNITUMIA SMS,EMAIL AU HATA KUNIPIGIA SIMU KAMA UKIWEZA.THANX A LOT. PIA NINGEPENDA KUPATA MAWAZO,USHAURI WENU JUU YA KILE AMBACHO UMEKIONA KATIKA WEBSITE HII. ALLAH BE WITH U.ASSALAAM ALLEYKUM ( AMANI IWE JUU YENU )

MWANZO WA MAISHA

Im Rashid Athumani Mussa Ntimizi,I was born on 28th march  at Ocean Road Hospital in Dar es salaam Tanzania,In our family we five children but two of them we share father and one we share mother.Our first born in Fathers Side is Mussa Ntimizi,second one is Habiba,Third one is Ismail then Me and the last born is Zaria.
Mussa and zaria we share Father.
For our mother First born is Amani,Second is Habiba Third is Ismail and last is Me,Amani we share mother only.
My dad was working at University of Dar in Engineering Depatment and our Mother works at Air Tanzania Corporation.

DISSAPOINTING
In 1984,Three years after i was born My father Divorce Our Mother,it was the saddest time in our hearts although i was young but i knew there was something that went on,Then after a time dad maried to another woman,OOh this woman like people said there is no good step mother it was true,she was cruel,unkindly,She beat us and treat us as a Animals,She got every bad behaviour,We lived in difficult time especial me coz i was younger than my two brothers and sister, our life was so bad but dad didnt take any reactions i dont know if that mother did something to him we dont know.

Our life goes on that situations for about 7 years,at last Dad divorced that cruel mother,it was a happy times for us coz we thought we could get a resting time in living as normal as every human being need to live.

After a time dad decided to marry another woman,at this time was different from once coz this mother
at least she was little caring,we live in that life for sometimes but a step mother is the step mother she never change hata siku moja,ilikuwa siku moja tunarudi kutoka shule na ismail,tulipofika nyumbani akatupa chakula,wazeet tukapata menu then tukawa tunajiandaa kwenda madrassa sas kabla hatujaondoka,mama akatuita,akasema nani aliyeandika matusi ukutani,ikabidi tushangae sisi tokea asubuhi tulikuwa tuko shule,tumerudi mchana,akaanza kusema wewe rashid umeandika tena neno lenyewe lilikuwa limeandikwa "KUMA",Mimi nilikataa akang'an'gania kuwa mimi ndio niliandika na baba akirudi lazima nikusemee,basi dingi alivyorudi mzee tukaitwa,akamwambia baba akatuita kwa nini umeandika matusi ukutani,i told dad i didint coz since morning i was at school so how could it be possible for to come home and write such things and go back to school is it possible?ooh dad didint understand, he started to beat me so hard,i was hurting coz i did nothing,even they took my School books to see how am i writing and to compare with that stupid word in the wall that have been written by that mother he still didint get me,akaendelea kunipiga na huku akinilazimisha kukubali ukweli kwamba mimi ndio niliyeandika,nilizidiwa na kipigo na nikaamua kusema ukweli kwa sababu sikuwa na jinsi,nilipokubali ndipo baba alipoacha kunipi yaliendelea kama kawaida lakini ilipofika mwezi wa sita mwaka 1991,baba alipata nafasi nyingine ya kwenda kuendelea na kusoma  huko katika chuo kikuu cha UPSSALA,ambacho kipo sweden,baba aliondoka na nyumbani tukabaki mimi kaka zangu ismail na musa,mama yetu wa kambo na wadogo zake wawili wa kike, Hayakuwa maisha ya kawaida coz hapo ndipo tulipoanza kuona tabia halisi ya yule mama,alikuwa ni malaya ambaye hakuwa na aibu,sababu alikuwa anaingiza mwanaume ndani wakati sisi tupo shule na ikafikia hatua kwamba anadanganya anakwenda kwa mjomba wake ambaye alikuwa anaishi eneo ambalo sio mbali sana na kwetu karibu na bar ya mwika iliyoko sinza kumbe anakwenda kwa hawala yake.

KURUDI KWA BABA TOKA ULAYA

Ilikuw ni siku nzuri na ya furaha sana kwetu kwani baada ya muda kama wa miezi 9 Hatimaye baba alirudi kutoka masomoni,Maisha yetu yalirudi kama kawaida na baba alituletea vitu vingi na zawadi mbalimbali.

KIFO CHA BABA
Lakini kama kuna msemo unaosema,mwenye bahati habahatiki,na kisicho riziki hakiliki,ndivyo ilivyotokea,ilikuwa ni alhamisi ya tarehe 28 mwezi wa pili 1992 saa tatu asubuhi,ndipo baba alipofariki dunia ghafla,akiwa ndani ya gari akielekea kazini,Baba hakuwa akiumwa ingawa alikuwa ana matatizo ya moyo toka miaka mingi iliyopata na alishawahi kutibiwa uingereza na kufanyiwa operation,but hakuwahi kuumwa hata siku moja,kilikuwa ni kifo cha ghafla mno ,na wakati kinatokea sisi tulikuwa bado tuko shule,na hata tuliporudi bado hatukupata habari yoyote can u imagine?tulirudi shule mimi na kaka yangu ismail,tukala lunch then tukaenda madrasa,sasa tulivyorudi jioni kama saa kumi na mbili ndipo tukakuta nyumba kimya ila sauti ya mtu aliyekuwa akilia ilikuwa ikitoka ndani,tulipoingia tulimkuta mama yetu wa kambo akilia,hatukuwa na haja ya kuuliza coz tulimsikia akilia huku akiomboleza jina la baba,tulifikia na kuanza kulia huku tukiwa bado hatuamini kile kilichotokea,Wakati asubuhi tunakwenda shule tuliagana vizuri na akatupa shilingi 100 za kutumia shule kila mmoja na kutuambia tusome sana na kwa bidii na its amazing alitukumbatia na kutuaga kwa furaha tofauti kabisa na siku zingine,kumbe ulikuwa muda wetu wa mwisho kuwepo naye duniani,IT WAS SHOCK-LIFE WITHOUT FATHER.

MAZISHI  : Tulishinda siku moja na siku ya ijumaa mwili ulisafirishwa kwenda kwenye mazishi tabora,
ulimzika baba yetu mpendwa katika makaburi ya tabora mjini pembeni ya alipozikwa babu yetu,yaani baba yake mzazi na baba,siku ya jumapili ya tarehe 2 mwezi wa tatu saa nane mchana.

LIFE AFTER THE DEATH OF DAD.
Ni maisha yaliyokuwa mapya sana kwetu kwa sababu tulishazoea kuwa na baba sasa tukawaza kwamba nani ambaye atakaye kuwa mhimili wetu na kututazama kama baba yetu mpendwa alivyokuwa akifanya,bahati nzuri shangazi yetu ambaye ni dada wa baba yetu waliozaliwa tumbo oja wawili tu aliamua kutuchukua na kutulea,si kwamba mama yetu hakuwa na uwezo wa kutulea hapana,ila mama naye alikuwa ana majukumu mengine ya kulea na kuangalia ndugu zetu wengine pamoja na mama yake mzazi ambaye ni bibi yeu,kwa kumsaidia ikabidi aunt achukue jukumu hilo la kutulea,tulihamia rasmi kwa aunt miezi mitano baada ya kifo cha baba na hatukukaa sana dares salaam,tukahamia dodoma ambako aunt alihamishiwa kikazi kama mkuu wa wilaya ya dodoma mjini,hiyo ilikuwa ni mwezi wa nane 1993,yalikuwa ni maisha mapya sana kwenda katika mji ambao hamuujui,wakati huo nipo darasa la tatu,maisha na shangazi hayakuwa mabaya sana,tuliishi vizuri naye na ofcourse bado tunaishi naye vizuri pamoja na watoto wake na kwa kweli kuna ushirikiano mzuri sana kati yetu,ingawa kidogo kwa kiasi fulani inaweza ikawa sio kama jinsi mtu anavyooshi na mzazi wake halisi,but it was wonderfull life and untill now i have graduated my diploma on information technology,as well as diploma on clearing and forwarding,and having my career we still live so nice,and may god blessed her and make her a wonderfull woman in this world.



MY LOVE LIFE HISTORY  : Maisha yangu ya kimapenzi yametawaliwa na matatizo,huzuni,vilio na furaha vile vile,kwani yamepitia katika mitego na hatua mbalimbali ngumu mpaka muda huu wa maisha yangu yanayoendelea. Msichana wa kwanza kuanza kumpenda katika maisha yangu alikuwa akiitwa mary,tulikuwa tunasoma wote Shule ya msingi Amani dodoma,alikuwa ndio mtu wa kwanza kuwa naye karibu baada ya mimi kuhamia hapo shuleni,lakini as u know mapenzi ya kitoto especially kwa mwanafunzi wa primary school,kidogo yanakuwa hayana ladha ile ya kimapenzi inayotakiwa iwepo so haikuwa real love na tulikuwa bado hatuko katika mood ile ya kuitana wapenzi,ingawaje tulikuwa tuko wote muda mwingi shule na hata baada ya shule but the truth remain there that childish love never exist.especially ndio kwanza tulikuwa tuko standard three,u can imagine.But nilianza kufeel love nilipoingia darasa la sita na msichana aliyekuwa wa kwanza kufanya naye real love na nikafeel kama niko kwenye love aliitwa Anna. she was so beuatifull na ilikuwa ni kama bahati pia kwamba ndio alikuwa mtu kwanza kwa mimi kufahamiana naye tangu nilipohamia katika shule hii ya mlimwa na kuwa karibu kama jinsi ilivyokuwa kwa mary,lakin huyu alikuwa tofauti kwani alikuwa akijua mapenzi ni kitu gani na vilevile age yake na yangu ilikuwa ina meet,so we were in wonderful time than i had at once,hatukuwahi kugombana na anna hata siku moja,alikuwa mpole sana na mtu anayesikiliza,kiasi kwamba she was stuck on my heart,than anything else in my life by that time.

USALITI  :- Tulipoingia darasa la saba mambo kidogo yakabadilika,as u know man sometimes are like vinyonga,unabadilika kutokana na mazingira mapya unayokutana nayo,unahitaji kuwa mtu tofauti na unajiona kuwa umebadilika,umekuwa and thats what  happened,Anna aka change,hakuwa tena anna yule ambaye nilikuwa namjua,na of course even my self nilichange kiasi,na sababu ambayo ilinifanya nichange ni baada ya kugundua kuwa anna alikuwa ana relation na one of my best friends u cannt imagine who was this man,Albert mangweha ambaye kwa sasa ni maarufu sana nchini na anajulikana kwa jina la ngwair,so thats was the end of our relation,at the end of the standard six nikawa na uhusiano na msichana mwingine aliitwa zamda alikuwa so cute (dont feel that i was kiwembe no..) untill we finished standard seven,siku badili tena msichana.from then nikawa niko single kwa muda mrefu coz i decided to concetrate on my studies and nothing else,unajua nini ukiwa na kazi na ukawa unuwezo wa kukicontrol mwenyewe wasichana watakuja hata bila ya kuwafuata,im sory kwa dada zangu ambao watahisi vibaya lakini this is the truth,sasa hivi niko kwenye love kwa mtu ambaye i think tutafika mbali nae,anaitwa hawa,i real love her so much,she is so caring to me,so in love and matured,sijui kama kuna kitu kitatubadilisha lakini im sure i love her,ingawa bado kuna wengine kama wawili ambao wapo karibu karibu na mimi but im trying to avoid them.


ANOTHER DISAPOINTING  :- Mdogo wetu wa kike Aliyeitwa zaria,alifariki dunia tarehe 6.july 2005 na sasa ni miaka miwili tangu afariki,tunamuombea kwa mungu amlaze mahali pema.amen

NILICHOJIFUNZA KUTOKANA NA KIFO CHA ZARIA : -

Ndugu ni yule ambaye mko nae kwa wakati wote ,mnashirikiana na kupendana kwa muda wote wa raha au matatizo,kifo cha zaria kilinifanya nielewe nani ni mtu sahihi kwangu na nani si mtu sahihi kwangu,muda mchache baada ya kifo chake tulipata taarifa tukaitana nyumbani kwa shangazi oysterbay,alikuwepo musa rashid,mama kisa na mume wake,mama mdaki na mume wake,mama yangu mama isege na baadhi ya marafiki zetu,tukaamua kwamba tuende morogoro siku hiyo hiyo ilikuwa ni jumapili saa nane mchana,baba kisa akatusaidia kutupeleka morogoro na kwa kuwa kina saidi (baba rashid walikuwa wanatoka dodoma tukaahidiana nao tukutane morogoo ili tuelekee kilombero alikofikia,dsm tukamucha musa ambaye tukampa jukumu la kufanya mandalizi ya msiba na kuendelea kutaarifu watu wengine,tukaondoka mimi,mama,mama kisa,uncle sam,baba mdaki na mama mdaki,mungu akatusaidia tukafika salama morogoro around saa 12 kasoro,tukawasubiri kina said na bada ya muda mchache wakawasili,ikabidi tuhamie kwenye gari y said land cruiser na shemeji baba kissa yeye akarudi dar es salaam.SAFARI YA KILOMBERO IKAANZA.....Tulifika kilombero around saa 2 usiku,lakini kwa mshangao kwa yale tuliyoyakuta kuleyalikuwa ni ya kusikitisha sana sababu ilivyoonekana ni kwamba baba mkwe ambaye ni baba mzazi wa mume wa zaria hakua na uhusiano mzuri na majirani zake na pia wakazi wa kule kwa ujumla sababu hatukukuta dalili yoyote ya kuwepo kwa msiba.na pia kingine cha kusikitisha hata maiti haikuwa imewekwa katika hali ya kawaida vile inavyotakiwa.kufika kwetu pale ilikua ni kama maskini aliyeokota kipande cha almasi mchangani,ndipo pilika za msiba zilivyoanza na hata majirani walianza kujitokeza kwa wingi na kuanza kupanga nini cha kufanya.

MZOZO WA WAPI MWILI WA MAREHEMU UENDE UKAZIKWE. 

Mama wa marehemu zaria alilazimisha akamzike mwanae Gairo,lakini sisi tukapinga sababu kwa tulivyofahamu kule gairo yule mama hakua mwenyeji kule na pia hakua akiishi vizuri na wenyeji wake kawahiyo suala la kumpeleka zaria lilikua gumu tukapinga kwa nguvu zote tukiongozwa na mama kisa na mama yangu mzazi na baba rashid,wote tukawa kitu kimoja na kwa uwezo wa mwenyezi mungu tukafanikiwa na muda huo huo tukatafuta gari ya kukodi kwa ajili ya kutupeleka dar es alaam kwa ajili ya mazishi ya mdogo wetu mpendwa.Tuliondoka usiku huo huo kurudi Dar es salaam.Wakati tuko njiani tuliwataarifu watu wa dar es salaam kuwa tunarudi na msiba utakuwa nyumbani kwa shangazi oysterbay.

MSHTUKO: Wakati tuko njiani tunarudi dar es salaam kwa ajili ya mazishi tulipata habari kuwa shangazi alikataa tusipeleke msiba nyumbani oysterbay,sababu alisema kuna nyumba ya baba yetu mkubwa kule magomeni ambaye alishakua marehemu tayari au tupeleke kijitonyama kwa baba yetu mkubwa mwingine mzee arthur ntimizi.kwa kweli tulishindwa kuelewa kwanini aliamua vile,lakini kwa sababu tuliamua kushikamana na kuwa kitu kimoja kwa kushirikiana na marehemu kaka yetu Thabit bomboma tulisimama kidete tukaamua msiba utakua oysterbay vyovyote vile itakavyokua.Tukafika dar es salaam salama kiasi cha saa 12 asubuhi na wengine wakafikia nyumbani kutayarisha msiba na kwa ajili ya kuzika na wengine tukapitiliza na mwili mpka muhimbili hospital kwa ajili ya kuoshwa mwili na kuufanyia taratibu zingine za muhimu zinazohitajika kwa maziko.tulipanga kuzika siku hiyo hiyo.wakati huo shangazi alikua safarini tabora,lakini kwa mshangao tena akapiga simu akasema yuko njiani anakuja na tusizike mpaka yeye atakapofika,kila mtu alichanganyikiwa sababu,lakini kutokana na hali ya maiti ilivyokuwa isingeweza kukaa zaidi tukaamua moja tu kuzika................. 


SUPRISING.
Tumepata mdogo wetu wa kiume anayeitwa isack,sio kama kazaliwa juzi au jana lah,amezaliwa takriban miaka 17 ilyopita lakini hakuwahi kukutanishwa na sisi na wala baba hakuwahi kutumbia kama alikuwa na mtoto nje,hatujui kama na yeye alikuwa najua au,lakini mama yake na huyo mtoto alikuja kujitambulisha kwetu na kutupa historia yake na kwa namna fulani tumekubaliana nae na sasa tunamtunza na anatarajia kujiunga na kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya makongo mwakani."mambo ya wazazi hayo. MAISHA BAADA YA KUANZA KAZI ITS VERY TRUE KWAMBA,Ingekuwa ni amri yangu

 

 
HAPPY NEW YEAR - 2012& HAPPY NEW ISLAMIC YEAR 1433 HIJRIA