BUsaRA zA Rashid

Rasheed - Karibuni Kwenye Tovuti yangu. MAISHA YANGU  TAMBAA NAMI ALBUM MANENO YA HEKIMA MAWASILIANO NAMI STORY ZANGU ZA MAPENZI TOVUTI NA BLOG MBALIMBALI MUZIKI NA BURUDANI STORY MVURUGANO Blog



HABA NA HABA ........... CHUKUA HIYO YES THIS IS THE PLACE WHERE U CAN GET SOME ADVICES,WAYS OF LIVING ESPECIALLY KWA VIJANA WENZANGU COZ UR EVERYTHING IN THIS WORLD.BT C LAZIMA UKUBALIANE NA MIMI COZ U MAY HAVE UR OWN WAYS AU SIYO.ENJOY.

HAPPY NEW YEAR 2009 HAPPY NEW YEAR HAPPY NEW YEAR 2009 HAPPY NEW YEAR 2009 HAPPY NEW YEAR 2009

 HAPPY NEW YEAR 2009 HAPPY NEW YEAR 2009 HAPPY NEW YEAR 2009 HAPPY NEW YEAR 2009 HAPPY NEW YEAR

HAPPY NEW YEAR 2009 HAPPY NEW YEAR 2009 HAPPY NEW YEAR 2009 HAPPY NEW YEAR 2009 HAPPY NEW YEAR

Si kila mtu anapenda kuishi maisha ya shida,au siyo tatizo uwezo unatofautiana baina ya mtu na mtu na yote ni kutokana na mipango yake muumba,lakini hakuna kitu kibaya kwa binadamu kama kukata tamaa,kwanini? kwanini ukate tamaa wakati bado pumzi zipo za kutosha kutoka kwa mwenyezi? Nguvu bado zipo za kutosha.uwezo wa ku move from 1 place 2 another upo,kwanini useme umeshindwa?

Wengine watasingizia elimu,ni kweli elimu ndio msingi mkubwa wa maisha bora lakini kama hujapata elimu pia hauna kipaji? je kipaji hakiwezi kukutoa,football,designing,boxing,mdomo.usishangae nikisema mdomo kwani kina masanja wametoka vipi c kwa sababu ya mdomo? au naongopa.ndio ukiwa na kipaji hata kama hauna elimu lakini unaweza ukatoka,kikubwa ni kuongeza juhudi na bidii.

Vijiwe vinasaidia kuongeza maarifa au kupunguza kabisa na yote inatokana na aina ya watu ambao mnakutana hapo maskani,ci lazima mkikutana muongelee mambo ya mademu,sijui umemchukua nani,yule kamuacha nani,NO.Kwanini msijiunge pamoja mkatafuta maarifa ya kufanya hata kuunda kikundi cha maendeleo? badala ya kukutana kuvutia muda wa kwenda kugombea sahani ya ugali na wadogo zako au dada zako? sio ishu wanangu.kuna msemo unaosema,jitoe ili utolewe,huwezi kuzama kwenye maji then ukasubiri wasamaria wema waje wakutupie kamba ili ujivute,unatakiwa kwanza uonyeshe juhudi wewe mwenyewe ndipo wale wengine wakuvute..........